Wataanzania, majipu yanazidi kutumbuliwa... pwaaah, pwiiihh, pwuuuhh..!!

Ingekuwa mimi ni mmoja wa Wakurugenzi au wakuu wa idara, mashirika yafuatayo... ningeachia ngazi mapemaaaa kabla Magufuli hajanifikia...!!! Maana akifika Magufuli, atawafukuza na kukosa kabisa haki zao za penseni...!!!

1: ATCL...

2: TRL...

3: TANAPA..

4: UDA..

5: TANESCO..

6: TAA

7: TTCL

8: TAKUKURU

9: Wakala ndege za Serikali

10: NCAA.. Ngorongoro

11: Wanyama pori

12: Bodi ya Korosho

13: Bodi ya kahawa

14: Bodi ya Pamba

15: Katibu Mkuu ..Maliasili na Utalii

16: Katibu Mkuu...Nishati na Madini

17: EWURA...

18: TPDC

19: Katibu Mkuu... TAMISEMI

20: PPRA

21: Bodi PPRA

22: TCRA...

23: NHIF... hapa ni balaa

24: NIC

25: SIDO

26: TEMESA

27: KADCO

28: UHAMIAJI

29: UDOM

30: BOT

31: KIA... JNIA
Ingekuwa mimi ni Mkuu wa Shirika au idara moja wapo hapo... naandika kabisaaa barua ya kuomba kustaafu... mapemaaaa...!! Ila sbb wanajiona labda watapona... subiria Magufuli awakute, watakosa hata MAFAO YAO YA PENSION...maana kote huko ni uozooo uozooooo