⇓☟JISHINDIE MkOKO KWA KUBONYEZA HAPA CHINI LEO HUSICHELEWE WAHI SASA



KAMA UNAJIAMINI KUWA UNAWEZA KUWARIDHISHA AKINA DADA HAWA WA KISHUA NA MAGETI KALI WALIOAMUA KUTANGAZA HISIA ZAO HUMU...BONYEZA HAPO CHINI ILI UWEZE KUONANA NAO>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> >>> >> >


TUJIUNGE ENEO LA TUKIO

Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu
lilijiri mishale ya saa 8:00 usiku wa Jumamosi
iliyopita katika ukumbi wa kisasa wa burudani wa
Samaki Sport mjini hapa ambao kulikuwa na nyomi
la kufa mtu.
Awali, baadhi ya wananchi walimpiga chabo Kiba
kisha kumtonya paparazi wetu ambaye alifika fasta
ndani ya kiwanja hicho na kumshuhudia laivu
msanii huyo akiwa na demu mwingine mkali
aliyejitambulisha kwa jina la Asia Mujuni na siyo
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ambaye amekuwa
akifuatana naye kila sehemu katika siku za hivi
karibuni.
JOKATE UPO?
Baadhi ya watu wanajua uhusiano wa Kiba na
Jokate walidai kuwa kama mwanadada huyo
angekuwepo eneo la tukio pangechimbika. KWA ‘KUSHEA’
Wawili hao walikuwa wakivuta shisha kwa ‘kushea’
huku Asia akishushia na kinywaji kikali.
Hata hivyo, Kiba awali hakumgundua paparazi wetu
hadi alipotonywa na msanii mwenzake, Stanley
Yusuf ‘Stan Bakora’ ambaye anamfahamu fika
mwandishi wetu.
Kiba aliyeonyesha kama amezidiwa nguvu kwa
kilevi hicho, baada ya kutonywa alishtuka kisha
akamchukua ‘patna’ wake huyo na kujikokota hadi
kwenye gari ambapo walitokomea kusikojulikana.
MASTAA WENGINE WALIOKUWEPO
Kabla ya kutimua, kwenye meza aliyokaa Kiba na
mrembo pia kulikuwa na wasanii wengine kama
Fareed Kubanda ‘Fid Q’, Esterlina Sanga ‘Linah’ na
Kibwana Saleh ‘KB’ ambaye maskani yake ni mjini
hapa.
Akizungumza na gazeti hili, KB ambaye pia alikuwa
akivuta shisha alimtetea Kiba: “Kiba ni ndugu
yangu na haya siyo madawa, ni shisha, Ulaya
mastaa wanavuta. Baadhi ya watu humu ukumbini
wanadai ni madawa ya kulevya lakini siyo kweli
huu ni moshi wa kawaida.”
Naye mmoja wa mashabiki wa Kiba, Jumanne Idd
aliyezungumza na gazeti hili kuhusu ishu hiyo
alifunguka: ”Kila siku tunakuja kwenye kiwanja hiki
cha Samaki, hatujaona watu wakivuta shisha humu
ukumbini. Leo ndiyo tumemshuhudia Kiba kufuatia
moshi wa kilevi hicho kuwa mkali, ilibidi mimi na
demu wangu tuhame meza.”
Kijana mmoja wa mjini aliyefahamika kwa jina la
Juma lssa alipoulizwa kuhusiana na tukio hilo
alisema: “Ni kweli kifaa kile ni moshi wa kawaida
lakini kuna baadhi ya watu wanachanganya na
moshi wa bangi.”
KIBA ATAFUTWA
Jitihada za kumtafuta Kiba ili kuzungumzia ishu
hiyo ziligonga mwamba na hata alipotafutwa kwa
njia ya simu haikuwa hewani.
Shisha ni kiburudisho ambacho kimekuwa maarufu
sana miongoni mwa mastaa na vijana wengine wa
daraja la kati ambao hukitumia, hasa sehemu za
starehe nyakati za usiku na mikusanyiko mingine
ya burudani inayojumuisha watu wengi.
Source:Globalpublishers
 
Top