▼▼▼CLICK HERE  FILL THE FORM AND WIN GALAXY S6▼▼▼

Beki wa klabu ya Manchester United Luke Shaw ambaye alivunjika mguu katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya klabu yaPSV Eindhoven ya Uholanzi, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa pili siku ya Ijumaa.

Beki huyo wa kimataifa wa Uingereza anayekipiga katika klabu yaManchester United alivunjika mguu mara mbili baada ya kufanyiwa tackling na beki wa PSV Hector Moreno dakika ya 15 ya mchezo. Baada ya kupata majeraha hayo Luke Shaw alipelekwa katika hospitali ya St Anna Ziekenhuis.
▼▼▼TO SEE PHOTOS AND THE VIDEO, WATCH HERE, CLICK HERE DOWN▼▼▼

Ila taarifa zilizotoka ni kuwa beki huyo aliyevunjika mara mbili mguu wake wa kulia, atafanyiwa upasuaji wa pili siku ya Ijumaa ya September 18, baada ya kufanyiwa uchunguzi. Stori kutokatalksport.com inasema kuvunjika kwa beki huyo kunaweza mfanya akae nje ya uwanja katika kipindi cha miezi sita. Lakini beki huyo bado yupo Uholanzi kwa matibabu.
Hii ni video ya tukio lililopekea Luke Shaw kuvunjika
 
Top