Rehema Chalamila alias Ray C has revealed the qualities of a potential husband. She took Instagram to point out that she was searching fo a hubby and on the same outlined exactly what she wants in a man.
She said she wants a hubby to bear him many children. Here is what the Na wewe Milele singer wrote on Instagram;

Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi nae milele! nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!! Ila naomba niwambie kabisa masharti



Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze. (He should be gentle and able to comfort me when sad.)


Awe anapenda muvi za kihindi ili nikiwa na stress aniwekee nyimbo za kihindi maana ndio raha ya moyo wangu.(He should fancy Indian movies and play me interesting Indian songs when I am stressed.)


Asiwe muongeaji sana sababu huwa sipendi makelele.(He should not be talkative as I detest noise.)

Anipende na ubonge wangu huu asije akaanza kunambia baby anza mazoezi au dah baby zamani ulikuwa bomba au rudisha kiuno hapo hatutaelewana.( He should find me attractive in my current body size, not later on asking me to lose weight.)


Awe ananipikia nikichoka maana navutiwa nikimuona mwanaume anapika. (He should be able to cook when I am tired. I find that sexy.)

Awe na mimi muda wote maana na wivu sana ikiwezekana tufanye kazi ofisi moja au awe ofisi ijengwe hapo hapo nyumbani. (He should at all times be with me, and if possible work together in the same office, doing the same job)


Awe mvumilivu maana nikiwa na hasira huwa naongea kwa sauti ya juu sana.(He should be patient as I have the tendency of shouting when angered.)


Asiwe na rafiki wengi,na akitaka kuonana nae na mi niwepo maana si mnajua wanaume tena wakikutana huwa wanashaurina mabaya. (He should not have many friends. If he wants to meet his boys he should do that with me by his side. I know men negatively influence one another in absence of their partners)


Awe anajua nyimbo zangu zote ndio ntaamini kweli ananipenda. (He should know all my songs by name; that will show met he truly values me.)


Sharti la mwisho kabisa ambalo ni muhimu sana kwangu ni hili tuwe tunatumia simu moja na namba moja. (The last and most important thing, we must use one phone and same telephone number.)
“Maana kanisani tunafundishwa kuwa ndoa maana yake tumeungana na kuwa kitu kimoja kwahiyo kama mume na mke tunalala pamoja kitanda kimoja na kuishi pamoja kwanini tusitumie simu moja! Sioni tatizo! Kama una ndugu, jamaa, kaka, rafiki yuko single basi mjulishe tangazo hili huezi jua unaeza ukashangaa. nimekuwa shemeji yako au wifi yako”
We all hope that our good lady is going to find a perfect partner.
 
Top