0

Hey Kagaruki, asante sana 
kwa mail yako na ushirikiano. Mwanamke anasikia raha
inayopelekea utamu ikiwa uume
unabadili "mwenendo" ndani ya uke, hali
hiyo husaidia mwanamke kuhusi kona
zote za uke wake zinafanyiwa kazi.
Lakini katika hali halisi sio wanaume
wote wanaojua kucheza na uume
wakiwa ndani ya uke zaidi ya kuingia na
kutoka (nje-ndani) sio hivyo pia wakati
mwingine mwanaume anashindwa
kufanya hivyo kwa muda wa kutosha
kutokana na utamu/raha atakayokuwa
anaisikia kutokana na tendo lote kwa
ujumla.
Nadhani hii ndio ilikuwa nia na
madhumuni ya Bibi/Shangazi zetu
kutuweka chini nakutufunza (baadhi
yetu) namna ya kuzunguusha kiuno kwa
ajili yako mwenyewe na sio kwa ajili ya
mumeo/mpenzio.
Ukataji wa kiuno ka raha yako
mwanamke:Unatakiwa kukata kiuno
wakati wowote utakapojisikia kufanya
hivyo au pale unapotaka kufika kileleni
haraka. Namna ya ukataji wa kiuno huu
ni tofauti na ule wa jukwaani pia ni
tofauti na ule wa kumsaidia mwanaume
amalize haraka (kwamba anapata utamu
kiasi kwamba anahisi kutaka kufika
mapema)....
Mwanamke unatakiwa kukata kiuno
kitakachokufanya uhisi kuwa
unauzunguuka uume ukiwa ndani ya
uke wako, kaza misuli yako ya tumbo
kisha aanza kukizunguusha wakati yeye
mwanaume anaendelea na nje-ndani
kama kawaida...hilo moja.
Pili, wakati mnaendelea kufanya
mapenzi, mwanamke unatakiwa
kutafuta kona nzuri ya uke wako na
kuubana uume kona hiyo na kuanza
kukizunguusha kiuno. Vilevile unaweza
kuwasiliana na mumeo/mpenzi wako
wakati tendo linaendelea mtegee mpenzi
akifika mwisho wa uke....shikilia kiuno/
makalio yake fanya kama
unamkandamiza chini zaidi....panua
miguu alafu kata kiuno kwa.
Kwa kufanya hivyo utasikia utamu kila
kona ya uke wako kwani uume ukiwa
fully ndani na yeye mwanaume katulia
wewe unakuwa na nafasi ya kucheza na
uume huko kwa kubadilisha ukataji wa
kiuno chako nahivyo kona zako zote za
uke kuguswa vile utakavyo wewe.
Ukataji wa kiuno kwa ajili ya
mwanaume: Hapa mwanamke
unatakiwa kujia timing, sio akiingiza tu
wee unaanza kukata kiuno...it's boring
alafu by the time unatakiwa kufanya
hivyo utakuwa umejichokea.....
Pia inategemea na ufanyaji wa
mwanaume husika kwani kuna
wanaume wengine huwa hawatoi nafasi
kwa mwanamke kukata kiuno kwani
kuna mikunjo mingine kwakeli inakuwa
ngumu sana kufanya chochote zaidi ya
kutoa mihemo na sauti za raha kama sio
discomfort!
Ukataji wa kiuno ili kumpa mwanaume
raha zaidi na hatimae utamu wa tendo
unatakiwa kukatwa ktk mtindo wa
kubana na kuachia na wakati unafanya
hivyo kwa kutumia kiuno pia unatakiwa
kushirikisha misuli yako ya uke.
Ukataji wa kiuno huu sio rahisi kwa kila
mko, ila kuna mikao inayokufanya uweze
kukata kiuno hiki kwa urahisi zaidi.
Mikao kama mwanaume/mke juu/chini
(kifo cha mende), Kipepeo, vijiko, kisusio,
mbuzi kagoma/miguu minne, kuogelea
(mwanamke chini), Kumi na 7/4 na mkao
woowte utakao buni ambao
unakuwezesha wewe mwanamke
kukata kiuno ktk mtindo huu.
Natumaini maelezo yangu yamesaidia
kuelewa tofauti ya ukataji wa kiuno.
Kila lililojema!

Post a Comment

WRITE YOUR COMMENTS HERE

 
Top