Umati wa Walemavu wamefunga makutano ya barabara katika mataa ya Ilala na kusababisha magari kutokupita...Walemavu hao wanadai vibanda vyao vya kufanyia biashara vimevunjwa na jiji usiku na kuchukua baadhi ya bidhaa zao ...

Madai yao makuu ni kwa serikali kwamba haiwajali, Bora iwaue tu kuliko kuachwa wakiishi kwa tabu huku vibanda vyao vilivyopo sokoni Karume vikibomolewa.

Naripoti toka eneo la tukio.
 
Top