0


BONYEZA HAPA CHINI KUJUA SIRI KUBWA YA UGOMVI WA DK SLAA 


Mwimbaji wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel Mbasha



MWIMBAJI wa nyimbo za Injili na mfanyabiashara maarufu Bongo, Emmanuel Mbasha amepotezea kuzungumzia suala la kumpa talaka mkewe kwa madai kwamba yupo bize na suala la sherehe za ushindi wa rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli.

Aliyekuwa mke wa Emmanuel Mbasha, Flora Mbasha

Mbasha aliitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati mwanahabari wetu alipomuuliza mwimbaji huyo kuhusu hatma ya kutoa talaka ambayo aliyekuwa mkewe, mwimbaji Flora Mbasha amekuwa akiidai hadi kumfikisha mahakamani.

Emmanuel Mbasha na mkewe

“Sikia bwana, mimi kwa sasa nipo bize na sherehe za ushindi wa Magufuli siwezi kupoteza muda wangu kuzungumzia vitu vidogovidogo kama hivyo, kwangu mimi rais wa nchi ni muhimu kuliko hayo mambo ya Flora unayoniulizia,” alisema Mbasha.

Emmanuel na Flora walikuwa wanandoa na kubarikiwa kupata mtoto mmoja kisha kugombana na kufikia hatua ya kuachana na sasa kila mmoja anaishi kivyake.
BOFYA HAPA CHINI KUONA VIDEO YA LOWASSA NA MAGUFULI WAKIWA KWA WAGANGA WAO KUTAFUTA USHINDI

KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI

BONYEZA HAPA CHINI KUJUA SIRI YA VIFO VYA WANASIASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI


Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Post a Comment

WRITE YOUR COMMENTS HERE

 
Top