Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa wakiwa nje ya ofisi zao.
Home
»
» Unlabelled
» Angalia Video Jinsi Rais John Magufuli Alivyowatembelea Wizara ya Fedha Kwa Kushtukiza na Kukuta Wafanyakazi Wengi Hawapo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
WRITE YOUR COMMENTS HERE