0




Msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwa huenda wawili hao wamemwagana siku ya valentine.


Msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwa huenda wawili hao wamemwagana siku ya valentine

Tukio hilo limetokea kwenye sherehe za uzinduzi wa albam ya msanii Mirror ambaye yuko chini ya mwanadada Wema Sepetu, usiku wa siku ya wapendanao (valentine) na kuwafanya watu wengi wawashangae, ndipo camera za EATV zilipowanasa baba na mama Cookie wakiwa mbali mbali, kama hawajuani.
Wakiwa ukumbini hapo Aunty Ezekiel (mama Cookie) alionekana akiwa close na Idris Sultan ambaye shemeji yake kwa shoga yake kipenzi Wema Sepetu, huku Moze Iyobo (baba Cookie ) akionekana akiwa na marafiki zake, ilihali siku hiyo ilikuwa maalum kwa wapendanao.
Zicheki picha hapa chini za tukio zima lilivyoenda.

Post a Comment

WRITE YOUR COMMENTS HERE

 
Top