Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya brazil imekuja Tanzania kecheza na taifa stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea?

Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Lina Sanga, jana kupitia kipindi cha ala za roho cha clouds fm msanii Lina Sanga alifunga na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.


Lina 'Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshuka na kuumia nisidanganye kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao'

Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujaozito wa jamaa au hana.

Wema Sepetu nae amehadi kuja kutoa lake la moyoni......

ZINGINE KALI ZAIDI CLICK HERE

 
Top